King Ayisoba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mfalme Ayisoba alizaliwa mnamo mwaka 1974.Jina alililopewa na wazazi ni Albert Apoozore ni mwanamuziki wa kitamaduni wa Ghana anayejulikana kwa mtindo wake wa kipekee wa muziki pamoja na kologo.[1][2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu King Ayisoba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.