King98

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ngonidzashe Dondo (anajulikana zaidi kama King98; alizaliwa Januari 15, 1998) ni msanii wa Hip Hop wa Zimbabwe anayeishi Afrika Kusini.[1][2][3][4][5][6]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

King98 alizaliwa Marondera.[7]

King98 alianza kazi yake ya muziki mnamo mwaka wa 2017 alipokuwa shule ya sekondari, alitoa wimbo wake wa kwanza ulioitwa SauceMan mwaka huo.

Mnamo mwaka 2019, alizindua albamu yake ya kwanza iliyoitwa Francesca iliyoshirikisha Davido, Nasty C na Nadia Nakai.[8][9][10]

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

  • Francesca

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

  • Hip Hop Hustle Bora - Zim Hip Hop Awards 2019[13]
  • Albamu Bora – Zim Hip Hop Awards 2019[14]
  • Ushirikiano Bora – Zim Hip Hop Awards 2019[15]
  • Mgeni Bora – Changamire Festival Awards 2020[16]
  • Video Bora ya Mwaka(Wacko ft Davido) - Changamire Festival Awards 2020[17]
  • Tukio Bora Lililoratibiwa(Toleo la Albamu ya Francesca) – Changamire Festival Awards 2020
  • Albamu Bora ya Mwaka – StarFM Music Awards 2020[18][19]
  • Nyota Bora Chipukizi – Glamma Awards 2020[20]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Masuku, Lisa (January 7, 2020). "Zim Award winning hip-hop artist continues to shine". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-27. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.  Check date values in: |date= (help)
  2. Chronicle, The. "Judge me according to my music: King 98". The Chronicle. 
  3. "Platinumz, King98 take Kachiri across Tanzania || The Southern Times". maxebooking.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-21. Iliwekwa mnamo 2022-04-23. 
  4. "Zimbabwe: King 98 Writes Own Piece of History". allAfrica.com. June 6, 2019.  Check date values in: |date= (help)
  5. "Zimbabwean Star King98 opens up on how he linked up with Diamond for their Collabo Kachiri". Pulse Live Kenya. November 13, 2020.  Check date values in: |date= (help)
  6. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-02-26. Iliwekwa mnamo 2023-02-26. 
  7. "Up close and personal with King 98". 
  8. "King 98: New kid on the block | The Standard". 
  9. Mail, The Sunday. "King 98 in Davido's orbit". The Sunday Mail. 
  10. "Top Nigerian producer courts King 98". October 28, 2020.  Check date values in: |date= (help)
  11. "'I bet' challenge on the cards as King 98 releases video". November 21, 2020. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-04-23. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.  Check date values in: |date= (help)
  12. Writer, Business (November 23, 2020). "‘I Bet’ Challenge launched for King 98 fans".  Check date values in: |date= (help)
  13. "Zim Hip Hop Awards 2019 winners list". December 16, 2019.  Check date values in: |date= (help)
  14. "T Gonzi, King 98 Shine At The Zim Hip-Hop Awards ⋆ Pindula News". December 15, 2019.  Check date values in: |date= (help)
  15. "King 98 scoops several awards at Zim Hip Hop awards.". Youth Village Zimbabwe. December 24, 2019.  Check date values in: |date= (help)
  16. "Changamire Hip Hop Awards 2020 winners list". February 1, 2020.  Check date values in: |date= (help)
  17. "King 98, Ti Gonzi rivalry renewed | The Standard". 
  18. "Zim: Star FM Music Awards 2020 full list of winners". Music In Africa. February 23, 2020.  Check date values in: |date= (help)
  19. "Hip-Hop Dominates 2020 Star FM Music Awards". ZIMBUZZ. February 22, 2020. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-05-31. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.  Check date values in: |date= (help)
  20. "The 2020 Glam Awards Winners -". September 12, 2020.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu King98 kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.