Kinde-Nsele-Nta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinde-Nsele-Nta ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wande, Wansele na Wanta. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kinde-Nsele-Nta imehesabiwa kuwa watu 19,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinde-Nsele-Nta iko katika kundi la Kiekoidi linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinde-Nsele-Nta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.