Kindai (lugha)
Mandhari
Kindai ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wandai. Idadi ya wasemaji wa Kindai imehesabiwa kuwa wazee watano tu, Wandai wengine wakitumia lugha ya Kifulfulde badala ya lugha yao. Kwa hiyo lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kindai iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kindai kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kindai Ilihifadhiwa 30 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kindai katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/gke
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kindai (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |