Kincane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kincane ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wancane. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kincane imehesabiwa kuwa watu 15,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kincane iko katika kundi la Kibeboidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kincane kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.