Kinarua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinarua ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wanaxi. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kinarua imehesabiwa kuwa watu 47,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinarua iko katika kundi la Kinaiki. Wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kinaxi tu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinarua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.