Kinaxi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinaxi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wanaxi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kinaxi imehesabiwa kuwa watu 300,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinaxi iko katika kundi la Kinaiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinaxi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.