Kinaro
Mandhari
Kinaro (au Kinharo) ni lugha ya Khoisan nchini Namibia na Botswana inayozungumzwa na Wanaro. Mwaka wa 2014 idadi ya wasemaji wa Kinaro nchini Botswana imehesabiwa kuwa watu 8000. Pia kuna wasemaji 4000 nchini Namibia (1998). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinaro kiko katika kundi la Kikhoe.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kinaro kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinaro Ilihifadhiwa 19 Novemba 2014 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kinaro katika Glottolog
- lugha ya Kinaro kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinaro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |