Kinari-Nari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinari-Nari kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wanari-Nari katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kinari-Nari, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinari-Nari kiko katika kundi la Kikulin.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinari-Nari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.