Kinaki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinaki ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wanaki. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kinaki imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinaki iko katika kundi la Kibeboidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinaki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.