Kinakai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kinakai ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wanakai. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kinakai imehesabiwa kuwa watu 700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinakai iko katika kundi la Kiok.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinakai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.