Kinagumi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kinagumi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wanagumi. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kinagumi tena, maana yake lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinagumi iko katika kundi la Kijarawan ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinagumi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.