Kimvuba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimvuba ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wamvuba. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimvuba nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 5100. Pia kuna wasemaji 870 nchini Uganda. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimvuba iko katika kundi la Kisudani cha Kati.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimvuba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.