Kimuskum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kimuskum ilikuwa lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad iliyozungumzwa na Wamuskum. Mwaka wa 1976 kulikuwa na msemaji mmoja wa Kimuskum tu. Wamuskum wote wengine walikuwa wameshabadilisha lugha kutumia Kimusgu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimuskum iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimuskum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.