Kimuruwari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eneo la Kimuruwari (kijani)

Kimuruwari ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamuruwari mpakani katikati majimbo ya Queensland na New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kimuruwari ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimuruwari kiko katika kundi lake lenyewe la Kimuruwari.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimuruwari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.