Kimurrinh-Patta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimurrinh-Patta ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamurrinh-Patta katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kimurrinh-Patta 1,800, na lugha imekuwa lugha ya mawasiliano katika eneo la Wadeye jimboni mwa Northern Territory. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimurrinh-Patta kiko katika kundi lake lenyewe la Kimurrinhpatta.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimurrinh-Patta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.