Kimpade
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kimpade (lugha))
Kimpade ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wampade. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimpade nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 16,000. Pia kuna wasemaji wachache nchini Chad na Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimpade iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimpade kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimpade Ilihifadhiwa 23 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimpade katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mpi
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimpade kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |