Kimosiro
Mandhari
Kimosiro ilikuwa lugha ya Kinilo-Sahara nchini Tanzania iliyozungumzwa na Wamosiro. Siku hizi Wamosiro wote wamebadilisha lugha yao na kuongea Kinandi badala ya lugha yao, maana yake lugha ya Kimosiro imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimosiro iko katika kundi la Kinilotiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimosiro kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimosiro Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimosiro katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mwy
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimosiro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |