Kimorom

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimorom ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wamorom. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimorom imehesabiwa kuwa watu 4500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimorom iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimorom kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.