Kimoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimoni ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamoni. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kimoni imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimoni iko katika kundi la “Wissel Lakes”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimoni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.