Kimoksela
Mandhari
Kimoksela ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia iliyozungumzwa na Wamoksela kwenye kisiwa cha Buru. Mwaka wa 1974 msemaji wa mwisho wa Kimoksela imefariki, maana yake Kimoksela imetoweka kabisa siku hizi. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimoksela iko katika kundi la Kimaluku.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimoksela kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimoksela Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimoksela katika Glottolog
- lugha ya Kimoksela kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimoksela kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |