Kimiyobe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimiyobe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wamiyobe. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kimiyobe nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 7000. Pia kuna wasemaji 1700 nchini Togo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimiyobe iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimiyobe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.