Kimidob

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimidob ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Wamidob. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimidob imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimidob iko katika kundi la Sudaniki-Mashariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimidob kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.