Kimiao cha Kichina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihmong-Shua (au Kimiao ya Kichina) ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina na Vietnam inayozungumzwa na Wamiao. Baadhi ya lugha za Kimiao, Kihmong-Shua imeathiriwa na lugha za Kichina kama Kimandarin zaidi ya zote. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kihmong-Shua imehesabiwa kuwa watu 250,000 nchini Uchina na 2000 nchini Vietnam. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihmong-Shua iko katika kundi la Kihmongiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimiao cha Kichina kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.