Kimgbo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimgbo (au Kimgbolizhia) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamgbo. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kimgbo imehesabiwa kuwa watu 190,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimgbo iko katika kundi la Kiigboidi ikiwa karibu sana hasa na Kiezaa, Kiizi na Kiikwo.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimgbo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.