Kimeyah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimeyah ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wameyah. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimeyah imehesabiwa kuwa watu 14,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimeyah iko katika kundi la “East Bird's Head”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimeyah kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.