Nenda kwa yaliyomo

Kimeta'

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kimeta' (lugha))

Kimeta' ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wameta'. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimeta' imehesabiwa kuwa watu 87,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimeta' iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimeta' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.