Kimeta'
Mandhari
Kimeta' ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wameta'. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimeta' imehesabiwa kuwa watu 87,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimeta' iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimeta' kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimeta' Archived 7 Mei 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimeta' katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mgo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimeta' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |