Kimeriam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimeriam ni lugha ya Kipapua ya pekee nchini Australia inayozungumzwa na Wameriam. Katika sensa ya mwaka 2006 idadi ya wasemaji wa Kimeriam imehesabiwa kuwa watu 210. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimeriam kiko katika kundi la “Eastern Trans-Fly”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimeriam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.