Kimer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kimer ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamer. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimer imehesabiwa kuwa watu 85. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimer iko katika kundi la Kimairasi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimer kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.