Kimengaka
Mandhari
Kimengaka ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamengaka. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimengaka imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimengaka iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimengaka kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimengaka Archived 2 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimengaka katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/xmg
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimengaka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |