Kimende (Sierra Leone)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimende ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sierra Leone na Liberia inayozungumzwa na Wamende. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimende nchini Sierra Leone imehesabiwa kuwa watu milioni moja na nusu. Pia kuna wasemaji 19,700 nchini Liberia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimende iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimende (Sierra Leone) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.