Kimendankwe-Nkwen
Mandhari
Kimendankwe-Nkwen ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamendankwe-Nkwen. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimendankwe-Nkwen imehesabiwa kuwa watu 23,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimendankwe-Nkwen iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimendankwe-Nkwen kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimendankwe-Nkwen Ilihifadhiwa 30 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimendankwe-Nkwen katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mfd
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimendankwe-Nkwen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |