Kimbula-Bwazza
Mandhari
Kimbula-Bwazza ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wambula na Wabwazza. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimbula-Bwazza imehesabiwa kuwa watu 40,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbula-Bwazza iko katika kundi la Kijarawan linalofanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimbula kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimbula Archived 21 Oktoba 2013 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimbula katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mbu
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimbula-Bwazza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |