Kimbukushu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kimbukushu (lugha))
Kimbukushu ni lugha ya Kibantu nchini Botswana, Namibia, Angola na Zambia inayozungumzwa na Wambukushu. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimbukushu nchini Botswana imehesabiwa kuwa watu 20,000. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Zambia (2006), wasemaji 6100 nchini Namibia (2006) na wasemaji 4000 nchini Angola (1997). Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbukushu iko katika kundi la K30.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimbukushu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimbukushu Archived 20 Januari 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimbukushu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mhw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimbukushu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |