Kimbukushu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kimbukushu ni lugha ya Kibantu nchini Angola na Zambia inayozungumzwa na Wambukushu. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kimbukushu nchini Angola imehesabiwa kuwa watu 4000, na nchini Zambia kuna wasemaji 5000 (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimbukushu iko katika kundi la K40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbukushu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.