Kimbugu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimbugu (pia huitwa Kima'a au Kibwayo na wengine) ni lugha mahuluti ya Kibantu na ya Kikushi nchini Tanzania inayozungumzwa na Wambugu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Green, Clive. 1963. The Wambugu of Usambara (with notes on Kimbugu). Tanganyika notes and records, 61, uk.175-189.
  • Mous, Maarten. 1994. Ma’a or Mbugu. Katika: Mixed languages: 15 case studies in language intertwining, uk.175-201. Kuhaririwa na Peter Bakker & Maarten Mous. Amsterdam: Instituut voor Functioneel Onderzoek van Taal en Taalgebruik (IFOTT).
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbugu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.