Kimbu'

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kimbu' ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wambu'. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimbu' imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbu' iko katika kundi la Kibeboidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbu' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.