Kimbelime

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kimbelime ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin inayozungumzwa na Wambelime. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kimbelime imehesabiwa kuwa watu 24,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbelime iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbelime kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.