Kimbe (Nigeria)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimbe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wambe. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kimbe imehesabiwa kuwa watu 14,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimbe iko katika kundi la Kibantoidi za Kusini linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimbe (Nigeria) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.