Kimassep

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimassep ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamassep. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimassep imehesabiwa kuwa watu 25 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimassep haihusiani na lugha nyingine.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimassep kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.