Kimaslam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimaslam ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wamaslam. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kimaslam imehesabiwa kuwa watu 250 tu. Pia kuna wasemaji wachache sana nchini Chad. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaslam iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimaslam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.