Kimarriammu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimarriammu ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamarriammu katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kimarriammu watano tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarriammu kiko katika kundi lake lenyewe la Kimarriammu.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimarriammu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.