Kimariyedi
Mandhari
Kimariyedi ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamariyedi katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 1981, kulikuwa na wasemaji wa Kimariyedi 20 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimariyedi kiko katika kundi la Kibringen.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimariyedi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimariyedi Ilihifadhiwa 1 Aprili 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kimariyedi katika Glottolog
- lugha ya Kimariyedi katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimariyedi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |