Kimaridjabin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimaridjabin ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamaridjabin katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 1970, kulikuwa na wasemaji wa Kimaridjabin 20 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaridjabin kiko katika kundi la Kibringen.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimaridjabin kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.