Kimaridan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimaridan ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamaridan katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kimaridan kumi tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaridan kiko katika kundi la Kibringen.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimaridan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.