Kimapia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimapia ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia iliyozungumzwa na Wamapia kwenye visiwa vya Mapia. Hakuna wasemaji wa Kimapia tena kwa vile Wamapia walihamia visiwa vya Mikronesia na kutumia lugha za Kipalau, Kisonsorol au Kitobian siku hizi badala ya lugha yao ya asili. Maana yake lugha ya Kimapia imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimapia iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimapia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.