Kimanzichana (wimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
"Kimanzichana"
Wimbo wa Msondo Ngoma
Umetolewa 1998-1999
Umerekodiwa 1998-1999
Aina ya wimbo Muziki wa dansi
Lugha Kiswahili
Urefu 9:20

Kimanzichana ni jina la kutaja wimbo uliotungwa na kuimbwa na kundi zima la Msondo Ngoma kati ya miaka ya tisini. Moja kati ya nyimbo zilizotamba sana katika miaka hiyo. Mashairi yake anazungumzia taarifa dhidi yake ya kwamba asiende Kimanzichana atauawa. Anaenda mbali zaidi kwa kuwaambia wamepita majabari wenye mbinu za kila aina - nyinyi bure kabisa. Anasisitiza ya kwamba vitisho vyao havimtishi kwani wanamuonea bure.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]