Kimanza
Mandhari
Kimanza ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wamanza. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kimanza imehesabiwa kuwa watu 220,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanza iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimanza kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimanza Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimanza katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mzv
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimanza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |