Kimaninka-Sankaran

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kimaninka-Sankaran ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea inayozungumzwa na Wamaninka. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisankaran imehesabiwa kuwa watu 77,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisankaran iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimaninka-Sankaran kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.